JamiiForums Usiku wa manane
Kim ung-yong ambae aliweza kuongea lugha 4 alipokua na miaka 2, aliweza kufanya hesabu za aljebra akiwa na miaka 3, alialikwa wanafunzi wa fizikia chuoni alipokua na miaka 4, alialikwa Marekani kwenye kitengo cha NASA akiwa na miaka 7, alipata PHD yake akiwa na miaka 15, alikua na IQ ya 210.
C&P
Hapo kwa wale wasioamini uwepo wa Mungu unaweza kuamini kwa takwimu hizi
 
Wale wanaume wakitunda wahaya wauza mayau na wale wa mbagala wauza maembe ni mwendo baiskeli nahisi wanapumzi za farasi
Mkuu mi kijijini kwetu nimeendesha sana zile baiskeli za aina ile,ila zile zao hazina services kabisa.....ngumu sana nimewahi jaribu moja nikamuuliza mbona ngumu hivi....wale hatari
 
Mkuu mi kijijini kwetu nimeendesha sana zile baiskeli za aina ile,ila zile zao hazina services kabisa.....ngumu sana nimewahi jaribu moja nikamuuliza mbona ngumu hivi....wale hatari
Hahaha phoenix mpaka imebadilika rangi

Ukikuta wanakimbizana ss utafurahia
 
Buza kuelekea goms,chanika,Mkuranga huko........wale unaowaona na baiskeli za mkaa na mayai wakipiga pedal za baiskeli wale wale huku katikati ni al kasusu na juice ya muwa
Aaah kuanzia hapa buguruni mataa kuelekea vingunguti ukonga goms kigogo chanika mpaka kisarawe ukipita hiyo barabara lazima ukutane nao hao watu.
 
Back
Top Bottom