Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Eh kuumbeeeNetwork busy aliko mkuu
Eh kuumbeeeNetwork busy aliko mkuu
Pole mkuu, itakua kauchovu tuu.Seriously nakuambia sio masihara eti mwili unasisimka mpaka nimeogopa na sio kawaida yangu na hii hali mm siwaginayo kabisa.
😀😀😀😀Lala na kisu umchome nduguyo ndo utakoma
Kesho atasema[emoji23][emoji23]Atakua anaota huko kama jana
Sio rahisi kuamini kama movie zinavyokuaga mtu anaweza akuambie kitu kaona cha hatari lakini wengine wakawa wanabisha tena wanaelekea huko kwenye hatari kabisa.Hii statement yako mkuu kwasisi wanakiswahili halisia tumeelewa ila kiswahili kingine inaleta utata kidogo
Baadaye ataleta uteteziEh kuumbeee
Nipo pekeyangu nyumba nzima hayupo ndugu yangu.Lala na kisu umchome nduguyo ndo utakoma
Unachrka kama vile unamuona anavyochomachoma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtu unaota unakimbizwa,then unadongoka kitandani kama guniaSio rahisi kuamini kama movie zinavyokuaga mtu anaweza akuambie kitu kaona cha hatari lakini wengine wakawa wanabisha tena wanaelekea huko kwenye hatari kabisa.
🤣🤣🤣Unachrka kama vile unamuona anavyochomachoma
Nikikupa mfano utalia ngoja nikuache[emoji23] maana ww unamachozi yakihindiNipo pekeyangu nyumba nzima hayupo ndugu yangu.
Hapana mzee sio sijafanya kazi leo kabisa jana ndio nilifanya kazi ndio nilichoka lakini leo hapana kabisa.Pole mkuu, itakua kauchovu tuu.
Ronny2010 ameshaaga mkuu
[emoji23]usinikumbushe nilikua nageuka kumbe niko mwosho wa kitanda nilianguka mpaka leo nalala kwa adabuMtu unaota unakimbizwa,then unadongoka kitandani kama gunia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushaanza habari zako.Mtu unaota unakimbizwa,then unadongoka kitandani kama gunia
Atakua kakoromaBaadaye ataleta utetezi
Kachangamsha lindo hapa halafu kapotea