Masikio yako tayari kusikia
NAWEZA NIKAKUSHIKA BILA KUKUPELEKEA MKONO.
Masikio yako tayari kusikia
NAWEZA NIKAKUSHIKA BILA KUKUPELEKEA MKONO.
Match yake moja tu na mchumba ghetto wakitoka mchumba arudi tena.Mkuu mi kijijini kwetu nimeendesha sana zile baiskeli za aina ile,ila zile zao hazina services kabisa.....ngumu sana nimewahi jaribu moja nikamuuliza mbona ngumu hivi....wale hatari
Shukuru hata hiyo mkuu,inamaana yake kuwa hapo ilipoIko moja tu....sikubahatika nazo 2
😀😀😀inategemeana na ufundi maana anaweza kuwa na papara as if anapiga pedalMatch yake moja tu na mchumba ghetto wakitoka mchumba arudi tena.
Aaaaaaa.......
Haaha kalalaje kizembeNaona kausingizi kamemuiba
Bando likemata bahari huyo au kifurishi cha usingizi kimezidi.
Nini mbaya ?
Usingizi hauna baunsa.......Haaha kalalaje kizembe
Mda wa kuaga umefika
Baki baki kwanzaMda wa kuaga umefika
Kwahiyo tuondoke sio ?
Baki baki kwanza
inategemeana na ufundi maana anaweza kuwa na papara as if anapiga pedal




Maana kuwa na nguvu ni kitu kingine na kutumia pia ni story nyingine
Ndio, sitaki kesi na Bi mkubwa baadae.
Mpaka tumekuamsha mkuu?
Kila la heri,maana watoto saizi wamelalaNaenda palilia ndoa