Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
KaamkaUmofia kwenu!!
KaamkaUmofia kwenu!!
Hebu acheni utani.Dah uwezi amini kuna mwanga alitaka kunichezea yaan mwili unasisimka ghafla tu bila sababu ya msingi ndio maana nilikuwa kimya for a while nikapiga na ibada kabisa.
Ss ww ukilala tu unabebwa ss hv wameanza kuoanda vitunguuu utaenda kulima heka 3 leokulisha nyama za binadamu



Hapana, majukumu mengine tuu.😀😀😀au ulienda kuchimba dawa ndiyo ukaipitia simu mkuu
Kwisha habari yako 😀
Kama hujasinzia lindoni, jitokeze.



mm nilijua mmeondoka wote.Ww tena wanam hezeaje mrt wa mchunguaji hao walikua wanakujaribu aiseeeDah uwezi amini kuna mwanga alitaka kunichezea yaan mwili unasisimka ghafla tu bila sababu ya msingi ndio maana nilikuwa kimya for a while nikapiga na ibada kabisa.
Yeah.......hiki kitabu nakitafuta nikisome tenaUmofia kwenu!!
Seriously nakuambia sio masihara eti mwili unasisimka mpaka nimeogopa na sio kawaida yangu na hii hali mm siwaginayo kabisa.Hebu acheni utani.
😂😂😂hawaniwezi........Ss ww ukilala tu unabebwa ss hv wameanza kuoanda vitunguuu utaenda kulima heka 3 leo![]()
Nipo na kisu pembeni ntauwa mtu sitaki ujinga kabisa tutauwana naleo hakuna mzembe wakulala hapa.Ww tena wanam hezeaje mrt wa mchunguaji hao walikua wanakujaribu aiseee
Network busy aliko mkuuchiqutitta leo uko wapiii
Shwaaari kabisa Mkuu
Haya makamanda.Tupo pamoja.Niko frsh kabisa.
Namuona Ronny2010 tu nyuma ya jengo.Network busy aliko mkuu
Hii statement yako mkuu kwasisi wanakiswahili halisia tumeelewa ila kiswahili kingine inaleta utata kidogoNipo na kisu pembeni ntauwa mtu sitaki ujinga kabisa tutauwana naleo hakuna mzembe wakulala hapa.
Atakua anaota huko kama janachiqutitta leo uko wapiii
Haya makamanda.Tupo pamoja.
Lala na kisu umchome nduguyo ndo utakomaNipo na kisu pembeni ntauwa mtu sitaki ujinga kabisa tutauwana naleo hakuna mzembe wakulala hapa.
Saizi huyo kasema anaenda kupalilia ndoa,hope saizi anaweka mbolea ya chumvi chumviNamuona Ronny2010 tu nyuma ya jengo.