Jana mambo mengi nilikuwa alafu nimechoka kinoma ila leo nipo vzr.Leo ngoma droo.
Sema nilikua sikuoni mkuu.
Trump habandukiiinmeona balaa la trump
Utanogewa sehemu 1 ssNipo lindoni nikiusindikiza usiku na movie inayoitwa The badland 2019
Uwepo wako unatosha, huyo @Da'Winci atafanya patrol baadae Kama mkuu wa Lindo😄😄Da'Winci sijui yuko wap leo
👣👣👣👣👣👣👣🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Yaani naona kama vile nitawakimbia hapa maana inanogaje? 😂 😂😂Utanogewa sehemu 1 ss
Kwenye Senate washachemkaWambandue tu kilazima
Nikama bush tu
Kule wenzetu wanajua kuipractise democracy sio kwetu huku tunaibaka.Trump habandukiii
Uwepo wako unatosha, huyo @Da'Winci atafanya patrol baadae Kama mkuu wa Lindo![]()





Kwa kweliKwenye Senate washachemka
Aiii usikimbieeeYaani naona kama vile nitawakimbia hapa maana inanogaje?![]()
![]()
Huyo Ni mlinzi mwandamizi,lazima Kuna kitu hakiko sawaDa'Vinci sijui yuko wap leo
2017 modelAu gari limeisha mafuta akiwa njianiHuyo Ni mlinzi mwandamizi,lazima Kuna kitu hakiko sawa
Sent using my Audi A62017 model
Hakuna wa kumtoa miaka 4 kama kawaida.Wambandue tu kilazima![]()
Nikama bush tu
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Mambo👣👣👣👣👣👣👣
Ha ha haAu gari limeisha mafuta akiwa njiani
2017 model