Shikamoo mama D
Ukalale sasa mama angu niachie lindoMarahaba Mjep
Dah taratibu usije kuua mtu mzee baba.Tizi time :
Road work ,20km ,push ups nyingiii, ngumi na mateke hewani ya kutosha
Amkeni, muda wa mazoezi
Mimi nime stop wiki sasa,nilikuwa na dose ya Typhoid nimemaliza jana,kesho naanza tena kama kawa,big up mkuu...Tizi time :
Road work ,20km ,push ups nyingiii, ngumi na mateke hewani ya kutosha
Amkeni, muda wa mazoezi
Tizi time :
Road work ,20km ,push ups nyingiii, ngumi na mateke hewani ya kutosha
Amkeni, muda wa mazoezi
Kivipi kwa mfanoMzee unatukata pumzi
Pole sana kwa typhoid, siku tutakutanaMimi nime stop wiki sasa,nilikuwa na dose ya Typhoid nimemaliza jana,kesho naanza tena kama kawa,big up mkuu...
Hahahaha, hafi mtu Mkuu ,kwema lknDah taratibu usije kuua mtu mzee baba.
Kivipi kwa mfano
Hahahaha ,sawatushaanza zoezi halafu inabidi turudi jeiefu ku-reply halafu turudi tena zoezini![]()
Subiri giza liingie...Naomba kukaribiswa mwanachama mpya
Karibisha mgeniSubiri giza liingie...
Akuje usiku, sasa hivi tumelalaKaribisha mgeni