Hahahaha, mambo karibu tena RafikiNilipewa likizo na mtuchake
Hahahaha,safi sanaHi...leo tulinde hadi hasubui nasikia kuna tuzo
Hahahaha, kijana mbn unajiuma uma? Mara nyimbo,Mara salam , sema binti akusikieSorry bana natania..
Hata hamna cha maana. Nilitaka kujua nyimbo uzipendazo
Hahahaha, dah ,ngoja nijifunze mbinu hapaNataka zile unazopenda sana....
Eg. Mimi napenda wimbo wa Sophie B Hawkins As I lay you down
We umenipiga mm kibuti, so bahati unajikosesha mwenyewe, PM umefunga usisumbuliwe , wadada wa JF mnapenda mbwembwe na kututesa tu sieAma kweli hili jina linanikosesha bahati katika hii jamii!
![]()
Asee,unasoma au unafanya kazi?Nishamaliza zote.. hapa nataka nianse upya muvi zote za Marvels
Tukatane coco beach kwa tizi ,Kisha tuelekee mwanza ktk maadhimisho ya UhuruNa tulifunge lindo letu kwa leo
Too personal question.. But none of above!Asee,unasoma au unafanya kazi?
Nikweli maana huu upepo siyoNjaa mzee baba, lindo bila shibe haliendi kabisa😉