Tupo
Nakuona. Hivi wewe ni "Muungwana" au "Mtwana" ?
Tupo
Kumbe ndo maana unaakili za kitumbilitumbili🤔Na kweli jasiri haachi asili, ni hakika una uwezo mkubwa wa kudaka vingi.
Kwa ile milima, miba na migomba ningepata wapi muda wa hata kuwaza soka.
Mimi uhodari wangu ulikuwa kwenda kuwinda tumbili, wana nyama tamu sana.
Wenye mko lindo kazi njema!! Mimi ndo naigia lindo!! Dk zinakimbia hatari
Itabidi tutunge sheria mpya ya lindoWatu mmekua wavivu kulinda
Bado uko machoWenye mko lindo kazi njema!! Mimi ndo naigia lindo!! Dk zinakimbia hatari
Hata mimi hapa am grabbing the glass of wine. Njoo tuishugurikie hii Robertson wine pamoja bhasi my dear..
Keshalala huyo. Wacha wabishi tukomaeBado uko macho