Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Hatimae leo umeacha movie na kusikiliza mziki[emoji1319][emoji1319][emoji1319]Mimi mkongwe kijana.. haya nasikiliza Bebe Rexha _ Last Hurrah
Hatimae leo umeacha movie na kusikiliza mziki[emoji1319][emoji1319][emoji1319]Mimi mkongwe kijana.. haya nasikiliza Bebe Rexha _ Last Hurrah
Tokea siku ya kwanza nilijua wewe ni mrembo[emoji6]Vipi wewe hukuwahi kudhani kuwa mimi ni kidume?[emoji6]
Kweli kabisa japo saizi limekuwa kama homa za vipindi,walinzi wanapotea sanaLilipo Tupo (Lindo)
Nishamaliza zote.. hapa nataka nianse upya muvi zote za MarvelsHatimae leo umeacha movie na kusikiliza mziki[emoji1319][emoji1319][emoji1319]
You tooEnjoy
😎Tokea siku ya kwanza nilijua wewe ni mrembo[emoji6]
Mambo..[emoji41]
[emoji848][emoji1324][emoji2358][emoji15] Ama kweli hili jina linanikosesha bahati katika hii jamii![emoji24]
Hilo hapana, nataka niweke jina langu la kibantu😉jiite Thadlicious...venye utaona wanaume watajua tu wewe ni bibiye
Njaa mzee baba, lindo bila shibe haliendi kabisa😉Kweli kabisa japo saizi limekuwa kama homa za vipindi,walinzi wanapotea sana
Mimi mkongwe kijana.. haya nasikiliza Bebe Rexha _ Last Hurrah
😘Tokea siku ya kwanza nilijua wewe ni mrembo[emoji6]
Hehehe...sasa hayo si huwa hayana jinsiaHilo hapana, nataka niweke jina langu la kibantu[emoji6]
😂😂😂Angalau kuna baadhi wataelewa kuwa Atu..., Koku..., Nyam...., Bhoke ni majina ya kikeHehehe...sasa hayo si huwa hayana jinsia
Mfano uitwe Atupele hapo tutajua ni jinsia gani[emoji23]
Hivi "OP" maanake official platnum member au?Nina miaka 8 JF wala sijui.View attachment 1279864
Mafinga kununua mbao muda Sina uhakika mkuuUmeenda kufanya nini ugenini?
Ni wapi huko uliko?
Utakaa huko kwa muda gani?
Mafinga kununua mbao muda Sina uhakika mkuu