Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Hiyo picha tu inatisha je movie yenyewe? Acha nilale zangu nisijeota nakimbizwa na mizimu bureOhhh.. pole leo niko na Jaquin Phoenix
View attachment 1274751

Hiyo picha tu inatisha je movie yenyewe? Acha nilale zangu nisijeota nakimbizwa na mizimu bureOhhh.. pole leo niko na Jaquin Phoenix
View attachment 1274751

Ukimaliza niite!Nafanya usafi, msije kwanza!!
UEFA Barcelona vs DortumondNow watching
Joker 2019
Hata sio Horror film ni Psychological film.. haitishi UsiogopeHiyo picha tu inatisha je movie yenyewe? Acha nilale zangu nisijeota nakimbizwa na mizimu bure![]()
Sio mpenzi wa mpiraUEFA Barcelona vs Dortumond
Wewe ni mwanaume wa kwanza (Afrika) kukiri kutokusakata kambumbu enzi za ujana wakoHahah...mzee umepiga hadi ndondo!
Hizo gemu nilikuwa naogopa sana kucheza maana kuvunjana nje nje, gemu labda za kikapu ndio nimekamua sana ndondo, unajifanya wa O'bay kumbe msaga sumu tu wa Ilala huko![]()

Vipi matokeo?UEFA Barcelona vs Dortumond
Niende wapi nikimbie maaguuumu, maaguuumu.Mimi maskini niende wapi?
Nianze wapi, nitamalizia wapi?
Kazi sina, deal yoyote mimi sina (kaza moyo)
Natoka asubuhi, narudi usiku bila kitu we
Apechalala ndefu mifukoni every day
Sisi masikini twende wapi?
Tuanze wapi, tutamalizia wapi?
Kazi hatuna, deal yoyote sisi hatuna
Waliopata kwani walishika kazi ya Mungu
Mola Baba sikia kilio chetu
Tabu na shida kila siku mimi (mimi)
Tabasamu lini utanipitia jamani? (jamani)
Maisha yangu kila siku kulia
Kwa hisani ya Christian Bella na Banana (USILIE)
Oooh hapo sawa!Hata sio Horror film ni Psychological film.. haitishi Usiogope
Uweke tuuimbe maana leo tumesusiwa lindo, ni mimi na wewe tuNiende wapi nikimbie maaguuumu, maaguuumu.
Tabu za dunia zimeniandama..
I wish niweke huu wimbo hapa. Tunauimba kanisani hata haujarekodiwa
69' Barcelona 3-0 DortumondVipi matokeo?
Tupo tunapiga kazi ya lindo kama kawaUweke tuuimbe maana leo tumesusiwa lindo, ni mimi na wewe tu

Honey,am here for youUweke tuuimbe maana leo tumesusiwa lindo, ni mimi na wewe tu
HahahahaInafurahisha kusikia kila mwanaume akijisifia kusakata kambumbu safi enzi za ujana wake.
Hivi Nleterewa Nganengo wewe ulikuwa unacheza namba ngapi vile?![]()
Mimi mwenzio sijaacha 'u-goli kipa' tangu enzi hizo mpaka sasa.![]()
Kuna nini1:05am
imeishia season ya 3 imefungiwa kama Series ya Traveler, Betrayal ni hatari hizi series kwa Jamii.Hii nayo ni ya mda kidogo ila ni moto, nmeangalia s1 & 2, sahivi imefika season ya ngapi?
Huyu mzee namkubali sana anacheza na akili za FBI vibaya mno alafu yy ndio mtu hatari kinoma huyu mzee nikiboko 🙌Sawa sawa, ntaiangalia. Na huyo kwenye avatar ni yule mzee wa kwenye blacklist 😎