Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,068
- 124,588
Bila shaka utakuwa wa kishua wewe [emoji56]Haikuwa first option...
Nilikulia mazingira ambayo kikapu ilikuwa ndio mchezo wa kwanza kwa watoto wote
Bila shaka utakuwa wa kishua wewe [emoji56]Haikuwa first option...
Nilikulia mazingira ambayo kikapu ilikuwa ndio mchezo wa kwanza kwa watoto wote
Bila shaka utakuwa wa kishua wewe [emoji56]
Mmmh hebu nipe picha yako ya utotoni niamue mwenywewe la kushika [emoji85]Hahaha not real....
Haina maana kwamba sijacheza cha ndimu, nimecheza sana tu
Unasafisha nini boss, unadeki?Muda wa usafi huu
Unasafisha nini boss, unadeki?
[emoji23][emoji23][emoji23] haki umenichekesha, kwani weekend una mtoko [emoji85]Leo nafanya usafi wa mwili.....navuna nywele zaa huku
Hiko ni kiwanda hakikisha unalipa kodi.. na una Docs zote za TRA n TFDANiko bar tuko tunafanya ile process ya kuchakata pombe kua mkojo.
Ronny2010 kwema?
[emoji23][emoji23][emoji23] haki umenichekesha, kwani weekend una mtoko [emoji85]
mwana kumbe wakishua ww BBALL unacheza position gani?Haikuwa first option...
Nilikulia mazingira ambayo kikapu ilikuwa ndio mchezo wa kwanza kwa watoto wote
👋👋👋👋👋Salama kipenzi. Una sukari uniazime?
Maduka yameshafungwa huku kwetu.