JamiiForums Usiku wa manane
Hahah...mzee umepiga hadi ndondo!

Hizo gemu nilikuwa naogopa sana kucheza maana kuvunjana nje nje, gemu labda za kikapu ndio nimekamua sana ndondo, unajifanya wa O'bay kumbe msaga sumu tu wa Ilala huko
Hahahaha ,Mkuu kuwa wa o'bay si hoja ya kucheza ndondo

Halafu najichanganya balaa mitaani ,kikapu nimegusa sana lkn haukua mchezo naupenda km soka

Soka nimekula hela ya uswazi kdg
 
Thad nakusubir uje tulinde na Lucas
FB_IMG_15741170801596375.jpeg
 
Hahahaha ,Mkuu kuwa wa o'bay si hoja ya kucheza ndondo

Halafu najichanganya balaa mitaani ,kikapu nimegusa sana lkn haukua mchezo naupenda km soka

Soka nimekula hela ya uswazi kdg
Inafurahisha kusikia kila mwanaume akijisifia kusakata kambumbu safi enzi za ujana wake.

Hivi Nleterewa Nganengo wewe ulikuwa unacheza namba ngapi vile?
Mimi mwenzio sijaacha 'u-goli kipa' tangu enzi hizo mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom