02:42....02.22...
Sina demu wa kubadilisha mawazo usikuu wa manane0303,POOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOpoZ!! Mupo humu jamaniiii haya sasa Nimefika kila mtu aeleze changamoto yake hapa...Nikitoka hapa leo sitaki majungu.

Khaa kila ukiniona unaniambia nimekuwa adimu wakati karibu kila siku tunaonana huko vichochoroni
Makurumla hapa tupige ngumi hewa....Tizi za sasa, nani yuko coco beach muda huu ,tupashe kdg
Makurumla ,makurumla hii mitaa ya magomeni ,hapo si uwanja wa soka ? Dah umenikumbusha kitamboNjoo Makurumla hapa tupige ngumi hewa....
Haya ahsanteBasi nitakuwa nimekumiss![]()

Tizi za sasa, nani yuko coco beach muda huu ,tupashe kdg
Umeamkaje Rafiki kipenzi