JamiiForums Usiku wa manane
imeishia season ya 3 imefungiwa kama Series ya Traveler, Betrayal ni hatari hizi series kwa Jamii.
Labda waarabu wameingilia kati kwasababu inaelezea vibaya mwenendo wa nchi zao

Zilikwepo series za hatari kama Spartacus, Rome na zingine ambazo zina kila aina ya uchafu kama ngono na mauaji ya kikatili lkn hazikufungiwa
 
Kweli lakini hizo betrayal na traveler ni za intelligence ndio maana wamefungia zipo deep sana kwenye hiyo secta watu wa usalama wakona wazifungie hizo series.
 
Back
Top Bottom