subadesubking
Senior Member
- Jan 17, 2015
- 196
- 327
Sleepless people thread..
Karibu mateYna2 lindoni
Ndio lakini sio kali sana kama hizo mbili Olympus na London lakini usiache kuangalia kwakuwa nimesema hivi mzee haya nimaoni yangu tu.Ni sequel ya London na Olympus has fallen?
Jumapili nadownload hiyo ya 3Fanya uicheki ni balaa
😂😂😂 vichochoroni tena.Khaa kila ukiniona unaniambia nimekuwa adimu wakati karibu kila siku tunaonana huko vichochoroni
Kwani umeelewaje dogovichochoroni tena.
Ahsante mateKaribu mate
Hiyo series imenishinda kabisa kuangalia nilipewa miaka kadhaa iliyopita kuanzia 1 mpaka 4 lakini sikuweza hata enjoy mzuka nayo sina kabisaWatching
Game of Thrones S2 ep 9. Black
Backwaters
Mm naangalia tu kwakua wengi wanasifia ila haivutiiHiyo series imenishinda kabisa kuangalia nilipewa miaka kadhaa iliyopita kuanzia 1 mpaka 4 lakini sikuweza hata enjoy mzuka nayo sina kabisa
Kweli wengi wanaipenda tafuta series flani hv inaitwa TYRANT uwone unyama wa waarabu humo na tabia zao haifai hata kuangalia na wtt kama unafamilia.Mm naangalia tu kwakua wengi wanasifia ila haivutii
Usiku mnene Unaingia muda sio mrefuMasaa yanasonga
Hii nayo ni ya mda kidogo ila ni moto, nmeangalia s1 & 2, sahivi imefika season ya ngapi?Kweli wengi wanaipenda tafuta series flani hv inaitwa TYRANT uwone unyama wa waarabu humo na tabia zao haifai hata kuangalia na wtt kama unafamilia.
Sawa sawa, ntaiangalia. Na huyo kwenye avatar ni yule mzee wa kwenye blacklist 😎Ndio lakini sio kali sana kama hizo mbili Olympus na London lakini usiache kuangalia kwakuwa nimesema hivi mzee haya nimaoni yangu tu.