Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
[emoji23]aiseeMsambwanda ni kama kachumbari kwenye pilau
[emoji23]aiseeMsambwanda ni kama kachumbari kwenye pilau
Ushachelewa[emoji23]Itakua aisee[emoji23] maana dunia ndogo hii,
Kwa thad nimetulia sitomsumbua,umri nao umenitupa mkono
Bae si ni kweli huna msambwanda we ni mtu wa fashyooooniAti sina nini?[emoji19][emoji19][emoji19]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Majuto ni mjukuu
Majuto ni marehemu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Majuto ni mjukuu
[emoji15][emoji15][emoji15]Tobaaaa![emoji4] nitembee naangalia chini akati huwa napenda sura za wanawake weupe (warabu)
Muda baro unaruhusu,ni raha tu (kwa sauti ya Ay)Ushachelewa[emoji23]
Na anatufanya hata tushindwe kuomba uchumba....kumbe nae ni mpenzi hewa, tupe nafasi wengine tufanye mapinduzi,ili ajutie kuchezea nafasiAchana nae huyo anataka kunizibia riziki tu kwa watanashati wa humu[emoji18]
Kweli,ndio ka ugonjwa kangu hako[emoji15][emoji15][emoji15]Tobaaaa!
Wacha weee! Ama kweli jasiri haachi asili[emoji1787]Hahaha [emoji23]
Kuna wanawake wana mitego,leo usiku nimekutana na katoto ka certificate nguo kaliyovaa ilinilazimu kusimama
Mitego ya tega ni kutege[emoji23]Mitego gai tena mnategeana
Sawa mekuUsiku mwema wakuu.
Tega tu wengine tutegekeMitego ya tega ni kutege[emoji23]
[emoji23]kwahiyo nimegjushi cheti cha maprnziNa anatufanya hata tushindwe kuomba uchumba....kumbe nae ni mpenzi hewa, tupe nafasi wengine tufanye mapinduzi,ili ajutie kuchezea nafasi
[emoji23]kale katoto ile nguo ni ya kuvaliwa clubWacha weee! Ama kweli jasiri haachi asili[emoji1787]
Tangu lini mjaluo akawa mweupe?Nimestuka[emoji9]
Akati najua wewe ni mweupe alafu flat screen
Umegushi mzee ...ngoja nikajisogeze nina vyeti certified kabisa[emoji23]kwahiyo nimegjushi cheti cha maprnzi
Wewe apo sio mjaluoTangu lini mjaluo akawa mweupe?