HahahaUmegushi mzee ...ngoja nikajisogeze nina vyeti certified kabisa
Wanawake ni muda umefika tuache ujinga wa kumpenda mtu hadi unapoteza heshima yako mtu anakufanyia vituko upo tu ...eti unavumilia.Huyo ashukuru nilimwacha kabla hata ya kuwa nae maana kwangu asingeona aibu tu bali angejichimbia kaburi ajifukie
Nitumue PM kama hutojaliJibu la swali lako liko kwenye uzi wa selfika na jf...!
Baki nazo mwenyewe kwa mustakabali wa furaha yanguHabari zako ninazo![]()

Eti huwa hawaangalii hata wakiona![]()


Hata kuona hawaoni ndo maana hawaangaliiKisa chako kimenishtua moyo...usiniulize kuhusu hili tafadhaliNiliona aibu
Sababu ya kuona aibu ni kuwa yule mwanamke alikua muaminifu na alinipenda sanaa,
Sasa mimi sikuwa muaminifu na mbaya zaidi alikua anajua michepuko yangu ananyamaza,siku aliposmua kusema ndio nikaon aibu
Hapo ndo atahukumiwa bila hata kusomewa shitakaAtajikuta ameshageuka halafu akili zikishakaa sawa ajicheke![]()


Usimsikize huyo...karibu shindanoniOkey angekua na msambwanda ningeongeza ushindani

Tupendane tu mambo ya kukatatamaa ni ya ibirisiWala dunia imebadilika unaweza kufa kabla ya wakati ukiendekeza uvumilivu hata pale ambapo hapastahili
Sio ubabe tu, nina zaidi ya ubabe!Hahaha nimecheka sana
Kumbe una ubabe hivi

Ninakazana kweli ,sitashindwa i believeUsimsikize huyo...karibu shindanoni![]()
Nipe ufunguo nije kukusabaiUsimsikize huyo...karibu shindanoni![]()
Kaangalie mambo yangu kwenye selfika na jf kisha uje kutoa ushuhuda hapaBae si ni kweli huna msambwanda we ni mtu wa fashyooooni
Wow....umekolea kimapenzi,endelea kutupa elimu mwalimuI decided long ago
Never to walk in anyone's shadows
If I fail, if I succeed
At least I'll live as I believe
No matter what they take from me
They can't take away my dignity...napenda sehemu hii ya wimbo
… the greatest love of all Witney
Oooh! Kweli aiseeMajuto ni marehemu