Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
KaribuNa anatufanya hata tushindwe kuomba uchumba....kumbe nae ni mpenzi hewa, tupe nafasi wengine tufanye mapinduzi,ili ajutie kuchezea nafasi
KaribuNa anatufanya hata tushindwe kuomba uchumba....kumbe nae ni mpenzi hewa, tupe nafasi wengine tufanye mapinduzi,ili ajutie kuchezea nafasi
kila mtu piaajifunze kuheshimu hisia za mwenzie mahusiano mengi yatadumu sanaTupendane tu mambo ya kukatatamaa ni ya ibirisi
Vipi baridi imekuzidia nini?Usiku mwema wakuu.
Tatizo ufunguo ndiyo tabu inapoanzaKaribu
Wala mwenyewe najifunzaWow....umekolea kimapenzi,endelea kutupa elimu mwalimu
Kuna vitu unaongea vina point sana ni vile watu na huu usingizi sijui kama wanaelewakila mtu piaajifunze kuheshimu hisia za mwenzie mahusiano mengi yatadumu sana
Upo vizuri naona umejifunza mengi sana pitia ulipo kuwepo awaliWala mwenyewe najifunza
Ulikaambia au uliishia kukakodolea macho tu?kale katoto ile nguo ni ya kuvaliwa club
Umeona eeeh!Wanawake ni muda umefika tuache ujinga wa kumpenda mtu hadi unapoteza heshima yako mtu anakufanyia vituko upo tu ...eti unavumilia.
Kabisa!Wala dunia imebadilika unaweza kufa kabla ya wakati ukiendekeza uvumilivu hata pale ambapo hapastahili
Wataelewa kesho ila ukielewa hata wewe inatoshaKuna vitu unaongea vina point sana ni vile watu na huu usingizi sijui kama wanaelewa
Hakika hayo ni maneno kuntu!I decided long ago
Never to walk in anyone's shadows
If I fail, if I succeed
At least I'll live as I believe
No matter what they take from me
They can't take away my dignity...napenda sehemu hii ya wimbo
… the greatest love of all Witney
Umefanya jambo la maana sana kufafanua umuhimu wa kuthaminianaWataelewa kesho ila ukielewa hata wewe inatosha
Nawe pia mlinziGodnights Guys
View attachment 1264795
Kabisa usimtegee mwingine linapokuja suala la furaha yako mwenyewe manake mmh!Hakika hayo ni maneno kuntu!
Pamoja sana kiongoziNawe pia mlinzi
Nangojabasi sawa