Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,425
Kapumzike kijana,acha nimalize hili shauri lakoGodnights guys
Kapumzike kijana,acha nimalize hili shauri lakoGodnights guys
Ngoja niipashe moto kdg, vipi lkn hope umerudi salama kabisaHapo sawa bora umempa ukweli wake
Nimeshakaribia kahawa imepoa ila...
Hapana sina hamu ya kula chochote siku yangu haikuwa vizuri sanaSawa je utahitaji kitafunwa chochote Rafiki? Jisikie uko nyumbani na huru
Ndio nimerudi salama kabisaNgoja niipashe moto kdg, vipi lkn hope umerudi salama kabisa
Sawa basi pata kahawa kdg ,tuanze mazungumzoHapana sina hamu ya kula chochote siku yangu haikuwa vizuri sana
Nafurahi sana km uko salamaNdio nimerudi salama kabisa
SawaSawa basi pata kahawa kdg ,tuanze mazungumzo
Wazima kabisa asee,sijui wewe familiaSawa
Vipi kwanza mke na watoto hawajambo?
Lindo li karibu kuanza
Wazima kabisa asee,sijui wewe familia
Mmeishia wapii.. isiwetu ume take advantageSawa
Vipi kwanza mke na watoto hawajambo?
Hahahaha, kijana tulia ,mwisho wake hutakiwi kujuaMmeishia wapii.. isiwetu ume take advantage
Niandae kombora tu za watu wa kigomaaHahahaha, kijana tulia ,mwisho wake hutakiwi kujua
Hahahaha, zikutane na watu wa manono,kalemii, gisenyi mixer isevya tabora ,huko kote kuna S-400Niandae kombora tu za watu wa kigomaa
😀😀😀😀 Zitakua ni kugongana angani tu!! Vita ya 3 ya dunia in mystical WorldHahahaha, zikutane na watu wa manono,kalemii, gisenyi mixer isevya tabora ,huko kote kuna S-400
Hahahaha, umeona eeh ,hiyo vita yake si mchezo ,we jaribu tuZitakua ni kugongana angani tu!! Vita ya 3 ya dunia in mystical World
Nyie ndio mnazaa watoto ili wawatumikie..Hahahahahaha, bwana mdogo taratibu bwana.
Mimi asilimia 24 ya mafao yangu ni mishahara yako siyo chini ya 100.
Halafu siwezi kufa njaa mjini kwasababu nimesomesha watoto wangu , naamani watanitunza tu!
Kumesha kucha, ukalale sasa.Nyie ndio mnazaa watoto ili wawatumikie..
Siwez lala mwenyeweKumesha kucha, ukalale sasa.
Siwez lala mwenyewe