JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Unajua kama kuna mambo yasiyo wezenakana na kuyafikiria yasiyo wezekana ni uvivu wa kufikiri na kupoteza muda.

Sikuuliza lile swali lengo nipate jibu bali kuona kwa namna gani tunafikiri.

Jibu la swali lako au hoja yako ni : Siwezi kujiuliza swali hilo sababu hakuna kinyume chake wa la zaidi ya hilo. Vipi nijiulize kwa kile kisichowezekana ?

Umehoji vizuri kaka,tuko pamoja.
Ahsante sana mkuu.
Hakuna kesho
 
Back
Top Bottom