Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Ndo naenda..nmefunga geti usije sema we ndo last manInna jiandae uende chachi acha kuupiga!
Ndo naenda..nmefunga geti usije sema we ndo last manInna jiandae uende chachi acha kuupiga!
We kamdada kanoko sana! Na kila siku kananizibia ridhiki. Mi na promote brand yangu bhana! Subiri nirudi utaona ntakavyokukoa!Ndo naenda..nmefunga geti usije sema we ndo last man
Hahahahahaha, bwana mdogo taratibu bwana.Mzee Malcom Lumumba toka serikali izingue ishu ya mafao isiku hizi unashindwa kuingia jf maana kiharusi na kisukari vilikupanda gafla..
Ahhh wacha zako mzee juzi tu kiharusi kilikua kimekukamata ajili ya stress ya mafao na nasikia unaonekeana viunga vya mashamba ya mtibwa kupakia miwa upate japo chochote kumalizia uzee wako. au unataka niseme siri ya kuweka hiyo picha as avatar..?Hahahahahaha, bwana mdogo taratibu bwana.
Mimi asilimia 24 ya mafao yangu ni mishahara yako siyo chini ya 100.
Halafu siwezi kufa njaa mjini kwasababu nimesomesha watoto wangu , naamani watanitunza tu!
hahahaaaaaaaAhhh wacha zako mzee juzi tu kiharusi kilikua kimekukamata ajili ya stress ya mafao na nasikia unaonekeana viunga vya mashamba ya mtibwa kupakia miwa upate japo chochote kumalizia uzee wako. au unataka niseme siri ya kuweka hiyo picha as avatar..?
Usijali lakini mkuu najipanga nije kua mkwe wakohahahaaaaaaa
Cc;Malcom Lumumba unakijana wa kiume aoe huyo binti??Usijali lakini mkuu najipanga nije kua mkwe wako
Nakuona Mary kiol..Cc;Malcom Lumumba unakijana wa kiume aoe huyo binti??
Siwezi shindwa na watani zangu!Wahaya watakushinda...
Lugha itakuwa ni tatizo lako la mwisho. Tatizo lako la kwanza litakuwa kupika ule ugali mgumu wa Kisukuma wa kushibisha wanaume 10+
Kwa mwendo huu natangaza rasmi kuwa wanyantuzu nimewashindwa, kuanzia leo nitarukaruka na wandengereko na wazaramo wenzangu

Mimi nikajua unataka mtoto wangu wa kiume ??Siwezi shindwa na watani zangu!
ni neema mm kuoa mwanao maana ataondokana na adha ya kula senene na ndizi daily..
kukupoza maumivu ya mafao kmahali nitakupa mtumbwi uwe unavua samaki na daga lake tanganyika..
Kweli wanatuokoa tusio na wapendwa

Huyu binti siwezi kuruhusu aolewe na mtoto wangu wa kiume....Cc;Malcom Lumumba unakijana wa kiume aoe huyo binti??
We mzee wacha zako unajua uanfanya watu wanajua mie ni Ke..Mimi nikajua unataka mtoto wangu wa kiume ??
Ila Dada Vinci hapo ndipo unanishinda.
kiharusi kimepanda tena nini?Huyu binti siwezi kuruhusu aolewe na mtoto wangu wa kiume....
Amevurugwa sana, anawez akaji kutusumbua baadae
Yaani mabinti wa siku hizi hamna heshima, hivi unataka kuolewa na mwanangu halafu unanikebehi hivi ?kiharusi kimepanda tena nini?
Kwa mwendo huu natangaza rasmi kuwa wanyantuzu nimewashindwa, kuanzia leo nitarukaruka na wandengereko na wazaramo wenzangu![]()