Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Kama na wewe umesema kweli sina changu inakuwa ngumu kumsamehe kila mtu anasema hivyoHahahaha ukweli huna chako, kijana ana totoz mpya

Kama na wewe umesema kweli sina changu inakuwa ngumu kumsamehe kila mtu anasema hivyoHahahaha ukweli huna chako, kijana ana totoz mpya

Kwenda zako kila mtu anasema unamtu mpyaPlease i beg
Wabaya usiwasikilizeKwenda zako kila mtu anasema unamtu mpya
Me nalala zanguWabaya usiwasikilize
Saa 9. Haya lala mamaMe nalala zangu
saa ngapi? Saa yangu mbovu
Poa my exSaa 9. Haya lala mama
f I had to live my life without you near mePoa my ex
DuhPoa my ex
Sitaki nyimbo tulizoimba zamani uimbe tena yameishaf I had to live my life without you near me
The days would all be empty
The nights would seem so long
Doh ,yashakua haya ngoja niwaachie uwanja ,mie Niko kibandani hukuKwenda zako kila mtu anasema unamtu mpya
Neither do I..Sitaki nyimbo tulizoimba zamani uimbe tena yameisha
Unanikumbusha mbali mimi
Doh ,yashakua haya ngoja niwaachie uwanja ,mie Niko kibandani huku
Ngoja nikufuate hukohuko kibandani uniambie kila kitu unachojua kuhusiana na huyu mtuDoh ,yashakua haya ngoja niwaachie uwanja ,mie Niko kibandani huku
Sio poa..Ngoja nikufuate hukohuko kibandani uniambie kila kitu unachojua kuhusiana na huyu mtu
Hahahaha, karibu sana, sijui utapendelea nn SAA hz ,kahawa au chai kutoa baridiNgoja nikufuate hukohuko kibandani uniambie kila kitu unachojua kuhusiana na huyu mtu
Muache aje kwanza usihofuSio poa..
Asante nadhani kahawa itafaaaHahahaha, karibu sana, sijui utapendelea nn SAA hz ,kahawa au chai kutoa baridi
Nyie vijana hamna mdhamana,utaombewa msamaha utarudia tenaNiombee msamaha kaka
Sawa je utahitaji kitafunwa chochote Rafiki? Jisikie uko nyumbani na huruAsante nadhani kahawa itafaaa