Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,554
Naam Dark angel..
Naam Dark angel..
Noma Mzee,Mimi naangalia movie Mara moja moja sana,movie ya mwisho kuangalia majuzi ni "The great Gatsby"Sure mkuu. Nikimaliza hii naangalia Blindspot then nalala.
Noma Mzee,Mimi naangalia movie Mara moja moja sana,movie ya mwisho kuangalia majuzi ni "The great
Ndio raha ya mgeni, mgeni ni baraka,lakini hakuna kurudi na mbuzi mjini maana wageni wa siku hizi mmekaa ki fursaNimekuja na mambo matamu![]()
Hapo nimeelewa kabisa. Tatizo ikishakuwa usiku akili zangu zinalala.Hapo juu umeitikia "Abe" nikawaza huyu Abe na viitikio wenzake wakina naam,Rabeca,eeeh may be walikuwa watu....hapo umeelewa?
Stick kila Mtu wa lika la tisini kachezea,maana jamii yetu ilitulea kwa fimbo,huyo jamaa hapo kwa movie kama namjua atakuwa kaigiza movie nyingiPole sana. Ningekua napiga mitungi au nacheki mpira ningepunguza.
Napenda sana..utotoni nimekula sana stick
View attachment 1250364
Hahah,kwamba mashuka yangeuka K-vantHapo nimeelewa kabisa. Tatizo ikishakuwa usiku akili zangu zinalala.
Hizo emoj ndio zinawekwaje hapa
Stick kila Mtu wa lika la tisini kachezea,maana jamii yetu ilitulea kwa fimbo,huyo jamaa hapo kwa movie kama namjua atakuwa kaigiza movie nyingi
Hapana, uchovu tuu akili imechoka ikalala lakini mimi usingizi umegomaHahah,kwamba mashuka yangeuka K-vant
Unaipenda ya dark angel?Enzi zile za exile.. ila hio id yako ya sasa imenishinda kuzoea...
Hapo sawa nilimuona kwenye matrix,Mzee movie gani naweza angalia yenye love stories iliyokaa kiutu uzima kama anazoigiza DiCaprio any suggestionsKeanu Reeves.
Matrix kacheza hii ndio iliyomtoa zaidi
Hapo sawa nilimuona kwenye matrix,Mzee movie gani naweza angalia yenye love stories iliyokaa kiutu uzima kama anazoigiza DiCaprio any suggestions
Unaipenda ya dark angel?
Ilikuwa inanifanya nakuwa mkorofi. Jina huumbaYaaah niliizoea