Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,425
- 109,993
Maana yake nn? Mm hua nausikiliza tu hata sielewi chukutita ni nini...Niliupenda ule wimbo nikaamua kujiita hivyo
Maana yake nn? Mm hua nausikiliza tu hata sielewi chukutita ni nini...Niliupenda ule wimbo nikaamua kujiita hivyo
Asante kwa salamu yako, kutoniham kwako hakunisumbui maadam kaka zako wananihamu sana tu[emoji6]Akiitika mwambie na mimi namsalimia ila sijamhamu
Habari yako?Asante kwa salamu yako, kutoniham kwako hakunisumbui maadam kaka zako wananihamu sana tu[emoji6]
Nzuri HB, za kunisusa?Habari yako?
Nitaanzia wapi kukususa! Nimekumiss mno.Nzuri HB, za kunisusa?
Vp mkuu
NipooWatu mpoooo... 03:22