JamiiForums Usiku wa manane
Unaipenda ya dark angel?
Kumbe ndio wewe ndio ulikuwa na ID ya dark angel nilikuwa najiuliza utakuwa MTU wa maovu Ndugu Yake shetani,ila jibu nililipata kwa zile picha kwenye Uzi wa mshana,your too beutifull my dear, na mavazi yako ya kistaarabu sana,kumbe hiyo dark ya ngozi yako
 
Mbona mavazi ya kistaarabuya kweli haya mkuu?
 
Eeeh,niliona kwa uzi wa mshana,huwezi amini ile thread watu ambao hawachangii ndio wasubilia picha,nilisubilia yako na nikaiona,nilivyoiona nikasema naam
 
Back
Top Bottom