Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,068
- 124,588
Khaaa jana imenikuta hii
Khaaa jana imenikuta hii
HiHello
Dark..Hello
AbeDark..
Napenda mwanamke aitikie hvo..
Asante sana nimeshakaribia mwejeji.Poa.,karibu chama la popoz
Unaweza kuta Abe,Rabeca,naam,bee,walikuwa watu na majina yako yalivutia.nawaza tu beyond
Wanasema mgeni karibu mwenyeji apone.,naimani umekuja na dawaAsante sana nimeshakaribia mwejeji.
Kuna nni? Halafu leo mbn mapema????nko nasoma akaunti ya kigogo2014
Hebu rudia cognitionUnaweza kuta Abe,Rabeca,naam,bee,walikuwa watu na majina yako yalivutia.nawaza tu beyond
Mkuu naona movies ni sehemu ya maisha yako,Now Watching John Wick Chapter 3
Nimekuja na mambo matamu[emoji28]Wanasema mgeni karibu mwenyeji apone.,naimani umekuja na dawa
Sure mkuu. Nikimaliza hii naangalia Blindspot then nalala.Mkuu naona movies ni sehemu ya maisha yako,
Hapo juu umeitikia "Abe" nikawaza huyu Abe na viitikio wenzake wakina naam,Rabeca,eeeh may be walikuwa watu....hapo umeelewa?Hebu rudia cognition