JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Eeeh,niliona kwa uzi wa mshana,huwezi amini ile thread watu ambao hawachangii ndio wasubilia picha,nilisubilia yako na nikaiona,nilivyoiona nikasema naam
Mavazi ya kistaarabu yapoje cognition?
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Lazima unanichanganya
Nitakuwa nakuchanganya kweli,nakumbuka picha yako upo kwa office na Mug kwenye meza Computer na kikaratasi kwa pembeni
 
Habari nawasalimu wazee wa mida mibovu, mnaonaje mlale ili msiamke na uchovu...

Nawatibua mkasirike mtokwe na povu, kiongozi wa doria kasinzia tayari yuko off

Hii ndio jf usiku wa manane, huburudisha masikini na walio na money..
 
Au siyo

Nyumbani kumenoga, nimepamiss humu, je wadau wote wazima humu,walinzi mpooo????
 
Back
Top Bottom