Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Ugomvi mkubwaUgomvi ni wanaume kuitwa dada.
Ugomvi mkubwaUgomvi ni wanaume kuitwa dada.
Hata mtu akitaka kukukashfu utasikia 'unat***wa nini'? Yaani kwamba kufanyiwa hivyo ni jambo la udhalilishajiMnaonewa sana...Hata tendo linalotendwa na wote still mwanamke ndo anaonekana mtendwa..Utasikia yule kaliwa na flani ila sio wamekulana..
Unashindwaje kunipata na mimi niko hewani 24/7Nakutafuta sana.
Yeah..Ila mwanaume kutia ni sifa/ujanjaHata mtu akitaka kukukashfu utasikia 'unat***wa nini'? Yaani kwamba kufanyiwa hivyo ni jambo la udhalilishaji
Hahah halafu utasikia mtu bila aibu anaimba wanaume tumeumbwa matesoYeah..Ila mwanaume kutia ni sifa/ujanja
Kuna dada ametembea na rafiki wa mpenzi wake..Huyo rafiki alikuwa anajua huyu ni demu wa mshkaji ila akafanya kila mbinu mpaka akamla..Mwisho wa siku demu anaonekana malaya halafu jamaa anaonekana mjanja..
Hahah halafu utasikia mtu bila aibu anaimba wanaume tumeumbwa mateso
..Mateso tunayataka wenyewe sometimesWengine tumedanganya mademu tuko nje ya tz..Hatuna budi kuwa walinziSaa 01:21
Tulio macho mpaka sasa 98℅ tuko single.
Kaka tena??
Akutake radhi
Dogo amekaririshwa kutukana kwa njia hiyo.
Kumbe kanitukana sikujua
Ana hizo swaga, ni zaidi ya mara 10 nimemsoma hivyo.
Basi ni mpumbavu
Ni utoto.
Haitoshi..Itabidi anipe na zawadi
Japo siyo usiku Wa manane, ila inanibidi tu nijibu haya mazungumzo yenu!Nikajua wanafahamiana/wanataniana..
Japo siyo usiku Wa manane, ila inanibidi tu nijibu haya mazungumzo yenu!
Kumuita Khantwe kaka, si kweli kwamba nimemtukana, hapana, ni swaga tu nimependa nimuite hivyo.
Kwahiyo naomba nisieleweke tofauti.
Asante!
Heloooo
Achana na huyo mtoto mpuuzi asitukaushe uzaziSiyo mara moja, wala mara mbili, wala mara tatu umekuwa ukiwajibu kwa kubadilisha jinsia kwa wale ambao umetofautiana nao.
Nadhani sihitaji kuleta screenshots za hizo responses zako.
Kiheshima tu, badili hizo swaga. Wengi tunaitafsiri kama dharau.
Nimekujibu kwa sababu najua una uelewa wa kujirekebisha, na pia wewe ni mtu ambaye napenda kuona unaendelea kuonesha character nzuri humu.
Please, ni ushauri tu.
Cc Khantwe, Kaboom.