Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Nimeona povu lako mahali kwa wanaume wa Dar!




si unajua tena kesho jumamosi tunafuaNimeona povu lako mahali kwa wanaume wa Dar!




si unajua tena kesho jumamosi tunafuaAchana na huyo mtoto mpuuzi asitukaushe uzazi
si unajua tena kesho jumamosi tunafua
Haha kumbe, basi mfundishe adabu mbona hafanani na wewe kaka yakeNi mdogo wangu.
Haha pole, punguza huruma ila kama unajisikia amani kufanya hivyo basi Mungu akubarikiIle topic nimechelewa kuiona, yaani kikikaa siti ya mbele nakuwaga na bahati mbaya sana. Nanyanganywa siti sana.
Haha kumbe, basi mfundishe adabu mbona hafanani na wewe kaka yake
Ooh sawaKuna umri ukiwa bado kijana unakuwa insensitive na emotions za wengine, ila ukishafika level fulani automatically unabehave.
Haha pole, punguza huruma ila kama unajisikia amani kufanya hivyo basi Mungu akubariki
Mimi sifanyi kwa huruma, nalazimika tu.
Kuna mzee siku moja nilimpisha, akaanza kunichana, akasema we umetoka mkoani lini?
Mimi niliwahi kumpisha mtu akaniambia ina maana umeniona mimi mzee sana? Tangu siku hiyo nampisha mjamzito au mzee mwenye mvi tena nae niwe nimemuona anapata tabu alivyosimama
Haha alikoma na maneno yake ya shomboYule mzee siku ya siku ikatokea akapanda akanikuta, kumbe watu wanamjua ni mtata.
Mimi nikamkumbuka, nikajikausha, ilikuwa route ya Muhimbili - Mbezi, akaanza kuongea ooh vijana hampishi. Nikamwambia walioko humu wote wagonjwa, bora hata wewe.
Haha alikoma na maneno yake ya shombo
Daaah huyu dogo kumbe ni makusudi ata mimi ananiitaga hivyo alafu mara kibao namwambia me sio kaka haskii.ila umempa ushauri mzuri asipofuata basi kiburi kimetaradadiSiyo mara moja, wala mara mbili, wala mara tatu umekuwa ukiwajibu kwa kubadilisha jinsia kwa wale ambao umetofautiana nao.
Nadhani sihitaji kuleta screenshots za hizo responses zako.
Kiheshima tu, badili hizo swaga. Wengi tunaitafsiri kama dharau.
Nimekujibu kwa sababu najua una uelewa wa kujirekebisha, na pia wewe ni mtu ambaye napenda kuona unaendelea kuonesha character nzuri humu.
Please, ni ushauri tu.
Cc Khantwe, Kaboom.
Daaah huyu dogo kumbe ni makusudi ata mimi ananiitaga hivyo alafu mara kibao namwambia me sio kaka haskii.ila umempa ushauri mzuri asipofuata basi kiburi kimetaradadi
Nakungoja apa![]()
..Mateso tunayataka wenyewe sometimes

Ticha hulali au unasoma vitabuYes, nadhani atakuwa ameelewa.

Siyo mara moja, wala mara mbili, wala mara tatu umekuwa ukiwajibu kwa kubadilisha jinsia kwa wale ambao umetofautiana nao.
Nadhani sihitaji kuleta screenshots za hizo responses zako.
Kiheshima tu, badili hizo swaga. Wengi tunaitafsiri kama dharau.
Nimekujibu kwa sababu najua una uelewa wa kujirekebisha, na pia wewe ni mtu ambaye napenda kuona unaendelea kuonesha character nzuri humu.
Please, ni ushauri tu.
Cc Khantwe, Kaboom.
Ticha hulali au unasoma vitabu![]()
Umemshauri vyema kabisa.