JamiiForums Usiku wa manane
Hivi vitu hua vinaliaga usiku kama wadudu ni nini,au ni imagination zangu tuu...chii chii chiii chiii (ndo vinavolia),

Nimekaa sipati majibu
 
Daaah huyu dogo kumbe ni makusudi ata mimi ananiitaga hivyo alafu mara kibao namwambia me sio kaka haskii.ila umempa ushauri mzuri asipofuata basi kiburi kimetaradadi
Yes, nadhani atakuwa ameelewa.
Umemshauri vyema kabisa.
Tunakumbushana umuhimu wa kupeana heshima kila mtu kwa stahili yake.
Sikujua kuwa ina tafsriwa vibaya namna hiyo, nilikuwa nikifanya kwa kujifurahisha tu, kumbe wengine walinielewa vibaya, OK nimeacha, nimeacha ujinga ule.
 
Kwema huku jaman......
Unavunja miiko kaka, huu uzi ni special wakati wa usiku, tena usiku wa manane,
sasa ona, huu ni mchana, tena mchana wa jua kali. Tena wewe mwenyewe ndiye uliyeuanzisha, kuwa uwe maalumu kwa mapopo!
 
Unavunja miiko kaka, huu uzi ni special wakati wa usiku, tena usiku wa manane,
sasa ona, huu ni mchana, tena mchana wa jua kali. Tena wewe mwenyewe ndiye uliyeuanzisha, kuwa uwe maalumu kwa mapopo!
[/QUOTE
Dunia Duara kaka! Samahani kwa usumbufu nimewamiss sana wadau wangu na huu ndio muda nimepata nimeona niwasalimu Tu.
 
Back
Top Bottom