BOB OS
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 3,462
- 7,003
utaikuta usihofu,
nikuongezee escort!!!,
utaikuta usihofu,
nyie wa mashariki mtapambana na hali yenu,,,,Sisi wa huu upande wa mashariki bado
Mkuu tumejirekebisha tangu ulipotuonyanyie wa mashariki mtapambana na hali yenu,,,,
kwanza ndio mnaongoza kwa utoro......
Mbona mapema mkuu.
Narudi.....
utaikuta usihofu,
nikuongezee escort!!!,
bado mpo kwenye uangalizi maalumu,,Mkuu tumejirekebisha tangu ulipotuonya
Usingizi umepotea Ghafla
akichelewa sana nitatangaza,,, ametekwa na watu wasiojulikana!!.....Itabidi uipashe. ..atachelewa kurudi
Sawa mkuubado mpo kwenye uangalizi maalumu,,
nitamtuma captain huko....
Nitarudi
hebu vitaje....Mnajua haya maisha yana visanga vyake,asikwambie mtu.
Unaenda wapi tena ?