JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23] mwanafunzi wa aina hiyo ni kumkimbia tu hakuna namna

Niliwahi kufundisha hesabu English Media moja, nika-calculate hesabu ya riba, dogo mmoja akanyoosha mkono, "That's wrong sir!".

Hapo kaangalia jibu la kwenye kitabu ambalo lilikosewa, maana swali liliuliza final amount ambapo ni riba+mtaji. Ila kitabu jibu wameweka riba tu.

Nilikoma kwenye kuelezea mpaka nikaeleweka.
 
😁😁😁 pole sana mkuu ila ndo changamoto zenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23] pole kwa kweli.

Back
Top Bottom