Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Nishapatikana
Acha kabisa,ila nakutafuta sana....!
Acha kabisa,ila nakutafuta sana....!
Nimewadia
Una maanisha ? Hili neno uneliweka mahali sipake,na hii ni kutokana na wanavyolitumia waswahili neno hili.
Nipo ....
Nishapatikana
Nirekebishe....muda umewadia
Swadakta,umepatia.

Thank u, Btw how are you ?loading......
sign in complete..
welcome.....
Aah Mkuu mbona Kama sijakuelewa hivi!
Aisee inabidi itoke sasa ili tupunguze maradhi yasio na tibaHiyo mbona lugha nyepesi sana bibie nimetumia.
Kwa kuokoa muda,nimekusudia hiyo avatar yako,wengine miguu ndio maradhi yetu.
Aisee inabidi itoke sasa ili tupunguze maradhi yasio na tiba
Leo umekimbia lindo