Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
pole kwa kweli.
Dogo alitaka kuniumbua. Ikabidi nitumie mifano, nikawauliza kama kuna mtu ana hela, tukatengeneza mfano wa Principal, baada ya kukalculate faida tukaijumlisha na mtaji, basi jibu lilipopatikana, dogo akasema, "Sure sir, the book got the wrong answer".

