Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,581
- 53,320
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Umekuja na gomba nini mbona misuri inakutoka hivyoNtaua ntu wallah ncha kweupe [emoji52]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Umekuja na gomba nini mbona misuri inakutoka hivyoNtaua ntu wallah ncha kweupe [emoji52]
[emoji3]Nasubiri saa sita nikujibu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Akaribie tuko pamoja 23:42..
Kwanini..?A sorrow night...
Mengi tu mkuuKwanini..?
Kuna kahawa ya kutoa uchovu na usingizi karibuAkaribie tuko pamoja 23:42..
Mtangilize muumba mbingu na nchi kila kitu kitakuwa shwari...Mengi tu mkuu
Unaingia lindoni unanyata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ssshhhh.... mda bado
Ssshhh,kimyakimya...Ssshhhh.... mda bado
Nasuka rasta nipate manzi wa kitasha [emoji23]Ewaaaaaa hapo hapo kanyagia Inna jino kwa jino, haiwezekani aongeze wewe ukatulia tu, achague kunyoa ama kufuga afro chaliifrancisco
Sent using Jamii Forums mobile app
Fluctuation ipo kila mahaliNaona kina "Hawa" mara wanaongezeka mara wanapungua,ilimradi ni tafrani tu humu lindoni.
Kabisa aisee.Flactuation ipo kila mahali