stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,882
- 27,511
Hahaha unataka kuaga saa hii? [emoji23]
Nione nikupeHivi dawa ya usingizi ni nini ?
Yes...nipo...naogopa kuvunja sheria..Kiranja Chalii anaweza kunipa adhabu ya kubeba gobole zote za Lindo
Hivi dawa ya usingizi ni nini ?
Yule tabibu ukishampata tuende sote sasaHapana....sitaki.....
Ila naona naanza kuwa mgonjwa
Jieleze vizuri...
Usingizi umekuzidi au umekupotea?
Yule tabibu ukishampata tuende sote sasa
Upotee wapi ? Ninao mwingi.
Karibu tena nyumbaniYes...nipo...naogopa kuvunja sheria..Kiranja @chaliifransisco anaweza kunipa adhabu ya kubeba gobole zote za Lindo
Mpunguzie
@chaliifrancisco
Sawa nitasubiriNitakushtua nikipata ratiba yake ya kazi
[emoji85][emoji86][emoji87]Mpunguzie chaliifrancisco
Yes...nipo...naogopa kuvunja sheria..Kiranja @chaliifransisco anaweza kunipa adhabu ya kubeba gobole zote za Lindo
Fran'c'isco [emoji25]Yes...nipo...naogopa kuvunja sheria..Kiranja @chaliifransisco anaweza kunipa adhabu ya kubeba gobole zote za Lindo