Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,581
- 53,320
Kuna siku watu wanakimbilia lindo siku ya Alhamisi na ijumaaDaah,mnatuyumbisha walinzi wenzetu. Leo mbona mapema hivi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku watu wanakimbilia lindo siku ya Alhamisi na ijumaaDaah,mnatuyumbisha walinzi wenzetu. Leo mbona mapema hivi ?
Ndio namjuaUnamjua kwanza muhusika ? Isiwe ni wewe.
Kumi na mbili asubuhiNgoja tuone,hivi geti hua linafungwa saa ngapi..?
Mapai wametanda sana asee[emoji23]
Woooiiii niache[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Yangu macho. Tena wewe ndio utakuwa wa kwanza kupiga mbonji a.k.a horizontal
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio namjua
Ukumbuke kuaga basi. Leo nataka nikusindikizeWoooiiii niache[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Kama unaongeza watatu bora nihamie kwa toxic si unajua wivu ninao mimiHapana nimemgharamia sana bablai. Nampango wa kuongeza watatu soon [emoji85]
Sema kwanza unanipa nnMtaje. Ukipatia nakupa ......................................!!!!
Sawa babalai
Sema kwanza unanipa nn
Ntaua ntu wallah ncha kweupe [emoji52]Kama unaongeza watatu bora nihamie kwa toxic si unajua wivu ninao mimi
Nipe nikupe ndo mpango mzima hamna kutapelianaNikisema unaweza kukataa. Weww nijibu kwanza,niamini kwamba nitakupa. Yaani nitakupa kweli.
[emoji851][emoji851]Ntaua ntu wallah ncha kweupe [emoji52]
Mhh...Nikisema unaweza kukataa. Weww nijibu kwanza,niamini kwamba nitakupa. Yaani nitakupa kweli.
Nipe nikupe ndo mpango mzima hamna kutapeliana