Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Ntaaminije sasa kama je nachati na robotiKuna vingine vikifata utaratibu huo vinaharibika.
Si unaniamini ? Au huniamini ?
Ntaaminije sasa kama je nachati na robotiKuna vingine vikifata utaratibu huo vinaharibika.
Si unaniamini ? Au huniamini ?
Ntaaminije sasa kama je nachati na roboti
Woiii kumbe pipi ya kijiti sipotezi nguvu zangu kumtajaHata ukiwauliza watakwambia kama mimi si roboti.
Mtaje nakupa pipi ya kijiti.
Woiii kumbe pipi ya kijiti sipotezi nguvu zangu kumtaja
Kizuri ule na mwenzakoHapana nimemgharamia sana bablai. Nampango wa kuongeza watatu soon![]()
Hamna kituUmeona sasa ? Ndio maana nilikuwa sitaki kukwambia.
Ukweli ni kwamba ukimtaja nitakupa shani ya ushindi na zawadi ya kutajika yenye kupigiwa mfano.
Hamna kitu
Ukiona hivyo ujue walinzi wanajali kazi yao ila kumbuka kesho Furahi dey.Daah,mnatuyumbisha walinzi wenzetu. Leo mbona mapema hivi ?
Lindo la kuja mapema hivi ujue ni nguvu za soda ngoja ifike saa sitaHili nimeliona aisee,hawa jamaa wamenikurupua kurupu huko nilikotoka sasa hapa napata shida kurudi niliko toka. Naendelea kupambana.
Lindo la kuja mapema hivi ujue ni nguvu za soda ngoja ifike saa sita
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaaaaa hapo hapo kanyagia Inna jino kwa jino, haiwezekani aongeze wewe ukatulia tu, achague kunyoa ama kufuga afro chaliifranciscoKama unaongeza watatu bora nihamie kwa toxic si unajua wivu ninao mimi
Wivu naona mimi
Ndio jino kwa jinoEwaaaaaa hapo hapo kanyagia Inna jino kwa jino, haiwezekani aongeze wewe ukatulia tu, achague kunyoa ama kufuga afro chaliifrancisco
Sent using Jamii Forums mobile app


