stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,872
- 27,490
On and off...Flactuation ipo kila mahali
On and off...Flactuation ipo kila mahali
What's happened buda?A sorrow night...
Salama HB...za mida?
Official Lindo Time
08/02/19...
Salama tu sijui wewe?[emoji119][emoji137]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Naona kina "Hawa" mara wanaongezeka mara wanapungua,ilimradi ni tafrani tu humu lindoni.
Salama tu sijui wewe?
Hahaha unataka kuaga saa hii? [emoji23]Mimi mzima, ila kaugonjwa kako njoo ukachukue pls
Nina dalili za kuumwa mafua. Ngoja nijipumzishe.Yaani...
Asante na kwako pia