JamiiForums Usiku wa manane
Na nyuki si pia anaacha mwiba?


Sent using Jamii Forums mobile app
Nyuki anaacha mwiba nyigu haachi. Ndipo hapo nyingu anakuwa hatari zaidi ya nyuki kwasababu anaweza kukupiga multiple stings while nyuki ni only one sting.

Nyuki wako deadly tu kutokana na kuwa wengi kwa group moja na wana attack as a team.

Nyingu/dondola
images%20(7).jpeg
 
Nyigu ubaya wake mwingine hakuachii kimshale kama nyuki. Nyuki ndio anaacha ka mshale na akishang'ata mara moja ndio basi.

Sasa ukichokoza nyingu anakupa multiple dose mpaka ukome
Hahaha hawa wamening'ata sana enzi za utoto,bhas ilikuwa uking'atwa wanakuambia chukua kitunguu maji then upake pale ulipong'atwa uvimbe utakwisha haha
 
Back
Top Bottom