Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
On my way 🏃🏃🏃Atakua tayari ashaanza safari ya kwenda shule maana anasoma mbali sana na nyimbani kwao![]()
On my way 🏃🏃🏃Atakua tayari ashaanza safari ya kwenda shule maana anasoma mbali sana na nyimbani kwao![]()
Lete kahawa kwanza tukamtafute mwizi.,... Tukimkosa tutakuchangia.Wakuu nshaibiwa kasimu kangu napitisha michango kea walinzi wote watiifu
Nitayarejea majibu yenu kesho c mnajua kugongea


Leo ntakwepo apa nalinda mpk asubh nakulinda na ww uache kubebishanaUfike salama![]()
Kama unaniringia nabebishana kama kawaida mpaka ufe kwa wivuLeo ntakwepo apa nalinda mpk asubh nakulinda na ww uache kubebishana



HeeeeKama unaniringia nabebishana kama kawaida mpaka ufe kwa wivu![]()
.Hahahaha uzuri hapa sijapata babe hivyo nafasi yako itabaki.Heeee.
Huey Freeman upo!Hahahaha uzuri hapa sijapata babe hivyo nafasi yako itabaki.
Nipo Malcom bro. KwemaHuey Freeman upo!
Nipo mzee, leo nachungulia humu..!Nipo Malcom bro. Kwema
Karibu bro. Tupo hapa mpaka asubuhiNipo mzee, leo nachungulia humu..!
Karibu bro. Tupo hapa mpaka asubuhi
Kwema asee bablai, umetukacha hapa siku kadhaa nikasema umedakwa unachanja kijiti nini wamekupeleka sentro!?Niaje bro,,mambo vp huko


Ha ha ha nipo bro,hawawezi nidaka wale,mapai wengi kuchanja ndio zao hahah wakishahandasika ndio wanaanza kuzingua mtaa hahahaKwema asee bablai, umetukacha hapa siku kadhaa nikasema umedakwa unachanja kijiti nini wamekupeleka sentro!?![]()
Mkuu unapafahamu Ipogolo Iringa ???