BOB OS
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 3,462
- 7,003
karibu tena,,haya tuma salamu kwa mabundi na mapopo watatu waliopotea😀Hii nafas ni adimu sana kuipata
karibu tena,,haya tuma salamu kwa mabundi na mapopo watatu waliopotea😀Hii nafas ni adimu sana kuipata
Yes tunajuana kwa majina
Haya na wewe ufungue uzi wako ueleze kwa nn unabadilisha titleSio "Usiku wa manane" sahihi ni "Usiku wa Manaani'
Haya na wewe ufungue uzi wako ueleze kwa nn unabadilisha title
Teh
salamu wamezipata bila shaka,,, kwa special offer kutoka kwa mlinzi wa zamuMbavu zangu mie
Natuma salamu kwz kipenzi changu Kichwa Kichafu
Thad Neybright Sakayo
Na ya upendeleo kwa Mwifwa
Nawaambia..msione kimya uncle kabana sana
Woowsalamu wamezipata bila shaka,,, kwa special offer kutoka kwa mlinzi wa zamu
ongeza watu wawili nafasi ya upendeleo kabisa😎
Haya na wewe ufungue uzi wako ueleze kwa nn unabadilisha title
Teh
Haiendagi hivyoHichi nilicho kiandika hapa kinatosheleza bibie.
Haiendagi hivyo
Amina pole pia..majukumu ni mengi ujueAsante kwa salamu zako.
Pole na majukumu.
Jaribunukikosea nakupa mwongozoNaomba unipe muongozo katika hili.
Jaribunukikosea nakupa mwongozo
sasa unapewaje mwongozo kablan ya kujaribu?
Uwiii inawezekana unamilik milion 100 wkt ungepaswa kumiliki milion 200 km ungejaribuSisi wengine hatupendi kubahatisha,ndio maana huwa tunataka msaada mapema kama hivi. Na kujaribu jaribu sio vizuri.