JamiiForums Usiku wa manane
Nitalifikiria hili .. ila mpaka nigundue mbinu mnazo zitumia.. nisije ingia kichwa kichwa tu nikaambulia za uso .... hapa saa 11 yatakiwa niwe macho .. imagine

Sent using Jamii Forums mobile app

Kunywa maziwa ya uvuguvugu unajiskia kulala haraka.

Lala izo 2 hrs deep sleep,amka unywe one cup of cofee, it will keeps you awake.

Vinasaidia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umempata?

IMG_1925.JPG




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom