Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Anta fyn sister,,
Thanks sister,,karbu tena
Anta fyn sister,,
Sehem nyingine kung'ang'ania hakufai broUnakubalije kuachwa bablai? Kuwa king'ang'anizi
Anta fyn sister,,
Thanks sister,,karbu tena
Hahaha ... sasa hapa hamnisaidii yatakiwa mniombee tu nilale ... hauoni kuwa nitaanza kusinzia sinzia kazini na hatimae kupunguza ufanisi wa kazi ... mwisho wa siku kazi nitafukuzwa na mwanamke nitakuwa nimekosa .... hiyo inaitwa kukosa +Sasa tungelala wewe ulieachwa ungeongea Na nani?
There is no coincidence in life [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha bro,,mapema mbonaSaa 9 kasoro 7 hii ... hahaa Aisee nikiwaiga nyinyi tembo Mimi fisi nitachanika msamba .... kwa herini usiku mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah wapi... madada wa mjini wakikucha hawa kubali matokeo ..ukiendelea kumfuata fuata hakawii kukupigia kelele za mwizi mbele ya kadmanasi .. waweza kukuta amepata li sponcer huko ..wewe unazidi kumganda tu anaona kwamba unambania riziki (wenyewe huwa wanasema usini haribie ugali wangu ) so ukiendelea kumganda anakupigia kelele za mwizi kweli mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Natania tu mkuu sipo serious [emoji23]Sehem nyingine kung'ang'ania hakufai bro
Aahh saa 9 mapema Chief ... acha masiharaHahaha bro,,mapema mbona
Eeh,,tayali
Hahaha ... sasa hapa hamnisaidii yatakiwa mniombee tu nilale ... hauoni kuwa nitaanza kusinzia sinzia kazini na hatimae kupunguza ufanisi wa kazi ... mwisho wa siku kazi nitafukuzwa na mwanamke nitakuwa nimekosa .... hiyo inaitwa kukosa +
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa chief hahaNatania tu mkuu sipo serious [emoji23]
Eeh,,tayali
Anza kujiandaa tu ha ha
Hahah kwa hyo unataka utukimbie bro
Bro kwa heri aisee hii ngoma ngumuHahah kwa hyo unataka utukimbie bro
Ha ha ha kama nakuona vile unavyojimwaya mwaya
Ha ha ha kama nakuona vile unavyojimwaya mwaya