Unanitisha mkuu dahumekuwa mzto kdogo ni kule kwenye majokofu mengi na wanalazwa watu mfu
We mkaliiiii mzee umechoraje utundu mwingi sioKila mmoja achague silaha yake anayotaka tunanze lindo
1. ⌐╦╦═─
2. ▄︻̷̿┻̿═━一
3. o==[]::::::::::::::::>
Uctshike hvi we waja lini ogcn kwangu japo npge pesa?
Wanaolala wana raha chalianguu acha tuwalinde.Vijana amlali...
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ndiyo kwanza saa sita mzee babaVijana amlali...
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hahah ni keyboard tu mkuu wala sina utundu
Mpaka Mungu aseme sio leo wala kesho, nimezungukwa na damu ya YesuUctshike hvi we waja lini ogcn kwangu japo npge pesa?
Nitakupeleka ikulu magu akupe kazi ya ITHahah ni keyboard tu mkuu wala sina utundu
Hivi we uchira huko mortuary huogopiWaku leo nipo kwenye majukumu mazito ya kuosha watu walopumzika mlele kwahyo soon nawaacha ili mie nawaandae ili asubuhi waje wahucka kuwachukua wakiwa safi
Fanya mpango tu anipe hata ya ushamba boy mkuu hiyo ya IT kubwa sana kwangu