Kwema Kaka icebox9 ?Bidada bbade cha upole ,chaliifrancisco ukija lindo uje na gomba, bidada Felister bidada mpenda mahindi chomwa yenye viungo, mzee baba wa mapicha mapicha SHIMBA YA BUYENZE, Thad bidada aliepotea lindoni, lindoni anakuja kwa kubipi huyu Zurri, Suriya mbaba ukuje lindoni huwa unalinda vizuri sana umakini A
Sent using Jamii Forums mobile app



Off haijatosha uongeze?Naona wadada wamelala

Mliltoka kwa mechi na mmefungwa au ku draw mseme team zenu ili tuwapee off leo![]()
man u na city niliweka wafungwe,,dadeki zao dk 92 wamenichania mkeka! duuTulikua kwenye mechi..
Leo mambo swafi kabisa
Newcastle 2-1 Man City
Man U 2-2 7Burnley
Baadae Liverpool wanaendelea kujizatiti kileleni. Ushindi unarudisha gap ya seven points
Woyooooo
Off haijatosha uongeze?![]()
Man U wamepata ngekewa. Burnley walikua na lapse of concentration dakika za mwishoni nahisi kuwa added 5 minutes kumewapa kiteteman u na city niliweka wafungwe,,dadeki zao dk 92 wamenichania mkeka! duu
Welcome backHapana Asante. ..nimepumzika vya kutosha

Hapana huwezi kuijua. ..Nishajua tema yako![]()
Man U wamepata ngekewa. Burnley walikua na lapse of concentration dakika za mwishoni nahisi kuwa added 5 minutes kumewapa kitete
Ahhh wapi, mtamkataa yule nyie ngojeni. Anahitaji kufungwa moja tu ili tujue ubovu wake. Leo kachoropoka kwenye mdomo wa mamba.Hapana huwezi kuijua. ..
Nahisi Solskjær ameaga vizuri kwao...


acha tu ,,pesa za mhindi zina madawa,,hazitoki kirahisi,,,,Man U wamepata ngekewa. Burnley walikua na lapse of concentration dakika za mwishoni nahisi kuwa added 5 minutes kumewapa kitete
Ahhh wapi, mtamkataa yule nyie ngojeni. Anahitaji kufungwa moja tu ili tujue ubovu wake. Leo kachoropoka kwenye mdomo wa mamba.
Kuna games vs PSG and Liverpool next month. Ndio tutampima kama ameaga vizuri au anabahatisha![]()
Nilishazima runinga. ...nikisubiria magazeti kesho. ...
Sidhani kama nitanunua tena![]()



that was closeHahaha soon mtakuwa hamumtamani kama Mourinho.Mimi siwezi kumkataa...
Leo hatujacheza. ..lol