Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Fanya tuage. ....Siwezi zuia, mwenyewe nime late leo sikukua na plan ya kuja ila unajua ukishaanza zowea inakua shida kidogo.![]()
Fanya tuage. ....Siwezi zuia, mwenyewe nime late leo sikukua na plan ya kuja ila unajua ukishaanza zowea inakua shida kidogo.![]()
Weee iringa tu nilikoma ni kujibanika tu kwa moto!!
Kucheka kwenye lindo ndo vizuri masaa yanakwenda haraka...We jamaa nafanya kusumbua wenzangu huku kwa vicheko non stop![]()
ukanifafanulie ile riddle?Fanya tuage. ....
hiyo collection uko nayo tufunguliw tu museum ya walinzi tunaeza make dough 😂😂
Pole sana, huku hakukufai basi
ukanifafanulie ile riddle?
Muage mwende wapi na nyie?Fanya tuage. ....
Ninayo ya Wakenya hii. Wanafurahisha sanahiyo collection uko nayo tufunguliw tu museum ya walinzi tunaeza make dough![]()



Hakika na vile ndoa mnazhudumia ndan ya mablanket cjui kama hata chuma mchicha mnaijua
aaaa no kwa explanations tu na aid ya diagrams/illustrations labda no practicals 😂😂Kwa vitendo ili uelewe vizuri
Muage mwende wapi na nyie?
Mkapambane na baridi la Njombe kwa pamoja kwa mtindo wa Penguins ama?
Sent using Bonge la TECNO tena mpya




Muage mwende wapi na nyie?
Mkapambane na baridi la Njombe kwa pamoja kwa mtindo wa Penguins ama?
Sent using Bonge la TECNO tena mpya
wapo fiti
aaaa no kwa explanations tu na aid ya diagrams/illustrations labda no practicals![]()
Karibu sana ila moto huku wa kupikia tu sio wa kuotaNikifika huko nitajifunza