hahaha amejihisi tu kumbe tunamwangalia tunasema hiiiiiii
Ahhh asubuhi yote hii?Naota bado. ....![]()
Kumeshakucha kumbe?Ahhh asubuhi yote hii?
5:32 AM si kama pamekucha tuKumeshakucha kumbe?
Asubuhi njema.....
NdiooKwahyo wewe kaz yako kujipamba na kujiremba tu unasubir tu pesa yangu mwsho wa mwez amaa!!!
Basii endelea kutafuta degreeHalafu hiyo haimaanishi mama ina maanisha mke au mpenzi
Sasa huyo mke au mpenz akiwa hana kitu chochote kichwani cha kumwezesha mumewe kupata maendeleo zaid ya kutumia tu pesa yake mume hatopata maendeleo ya kueleweka maana mke/mchumba hana chochote cha kumpa zaidi ya uchi na wowowo lake
Wise wife/fiance humwezesha mwenzake kufikia maendeleo makubwa
Over!
Kuna kuzidiwa😂😂😂😂
umewahi sana dingilai
mbona moshii mwingi hivyo,vipi haya magogo umeokota wapi!!!!
Muulize Captain Chaliifranciscombona moshii mwingi hivyo,vipi haya magogo umeokota wapi!!!!


nyie na captain mnaanza kufuja mali za kampuni siyo...?