Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
Hahah alfajiri iyo apoBado kidogo.
Huu ni "Usiku wa Matisa"
Hahah alfajiri iyo apoBado kidogo.
Huu ni "Usiku wa Matisa"
uivu hauruhusiwi, tii sheria bila shurutiAseee faini tena Notorious boy87 Mkabidhi lindo kwa niaba yangu
saa moja? Mwenzako hapa saa kumi na moja na nusu sipo kitandani
saa moja? Mwenzako hapa saa kumi na moja na nusu sipo kitandani
Hainaga kuangushia kwenye lindoAseee faini tena Notorious boy87 Mkabidhi lindo kwa niaba yangu

ukijizoesha mwili una tune in
Hizi huwa nazizima utadhani sio mimi niliyewekaHa ha ha zile alarm za saa 11 alfajiri ni mtihani


ukijizoesha mwili una tune in
Duh una raha sana mkuu. Hongera aseeYan mm hakuna cha kuzohea lazima nilale masaa 8 kwa siku (saa 24)
Manne nililala mchana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh una raha sana mkuu. Hongera asee
raha kulala mda mrefu namna hiyoraha ya nn mkuu???
yani hata kama nikibanana lazima uwo usingiz kuna wiki nitafidishia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asubuhi njema