JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Naona umerudisha ile iPhone ili sisi wa tecno tuendelee kuteseka kwa wivu [emoji23][emoji23][emoji23]

Amna ni huko kwenye free basic ndo inaonekana nmerud kwenye app maana free basic kama unakumbuka ile internet ya nokia ya tochi ndo kama free basic sion hata pa kuandikia coment


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Khaaaaa mbna hiki kisimu kina kiherehere[emoji1493]‍♂️[emoji1493]‍♂️[emoji1493]‍♂️[emoji1493]‍♂️[emoji1493]‍♂️kuset signature


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Walinzi wenzangu wakongwe kushinda trophy ndo nini maana naona et nmewin tropy hapa[emoji15]
 
Khaaaaa mbna hiki kisimu kina kiherehere[emoji1493]‍[emoji3603][emoji1493]‍[emoji3603][emoji1493]‍[emoji3603][emoji1493]‍[emoji3603][emoji1493]‍[emoji3603]kuset signature


Sent from my iPhone using JamiiForums
Narudia tena. Ungekuwa unatumia TECNO kama mimi hicho kisimu wala kisingekuwa na kiherehere cha kuweka signature ambayo imebadilishwa manually kama hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]

Za tangu jana lakini?
 
Back
Top Bottom